Isaiah 43:5

5 aUsiogope, kwa kuwa mimi nipo pamoja nawe,
nitawaleta watoto wako kutoka mashariki,
na kukukusanya kutoka magharibi.
Copyright information for SwhNEN